Genesis 17:2-4

2 aNami nitafanya Agano langu kati yangu na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.”

3 bAbramu akaanguka kifudifudi, naye Mungu akamwambia, 4 c“Kwa upande wangu, hili ndilo Agano langu na wewe: Wewe utakuwa baba wa mataifa mengi.
Copyright information for SwhKC